Mpendwa Mwanahisa wa Benki ya Biashara Mkombozi,kutokana na zuio la mikusanyiko ya kijamii lililotolewa na serikali ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya Korona, Benki imeamua kusitisha kutumia Ukumbi wa Cardinal Adam Msimbazi Centre kufanya Mkutano Mkuu wa 12 wa Wanahisa siku ya Jumamosi tarehe 31.7.2021 saa 4:00 asubuhi na badala yake mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao bila kubadili tarehe na muda wa mkutano kama ulivyopangwa awali.

Ili kujiunga utapaswa kutumia MAJINA YAKO pamoja na namba ya CDS.

Mfano. Andrew John- CDS no. 123

Jiunge kwa kubonyeza link iliyopo hapa chini;  

https://us02web.zoom.us/j/87939721074?pwd=eUtkZ0RjMU90Sk8vNzVhdHBQTkg1dz09

No ya mkutano: 879 3972 1074

Nywila: 176783

Fungua Nyaraka (kwa lugha zote mbili) kwa ajili ya Mkutano huu kwa kubonyeza link iliyopo hapa chini;

https://mkombozibank.co.tz/downloads/AGM_BOOK_2021_SWAHILI_VERSION.pdf

https://mkombozibank.co.tz/downloads/AGM_BOOK_2021_ENGLISH_VERSION.pdf

Karibuni Sana