Karibu Benki ya Biashara Mkombozi kwa huduma za kubadilisha fedha za kigeni kupitia tawi lolote lililo karibu nawe.

Matawi yetu yanapatikana sehemu zifuatazo:

  • Msimbazi - Centre
  • Kariakoo - aggrey st.
  • St. Joseph - Mansfield st.
  • Tegeta - Bagamoyo rd.
  • Morogoro - karibu na Hospitali ya Mkoa
  • Mwanza - Nyerere st.
  • Bukoba - Karibu na Kituo cha Police
  • Moshi - Upinde st.