MIKOPO MIDOGO YA NYUMBA


Pata Mkopo hadi Milioni 20 kwa riba nafuu kwa ajili ya Kuboresha Makazi yako na pia Kumiliki Kiwanja Kilichopimwa chenye hati. Viwanja vinapatikana kwa bei nafuu.

MANUFAA YA MIKOPO MIDOGO YA NYUMBA
• Gharama nafuu za mkopo.
• Kujipatia makazi bora ya familia yako.
• Muda wa marejesho ni kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitatu
• Urahisi wa dhamana, kwani nyumba inayoombewa mkopo wa kufanya maboresho inaweza kutumika kama dhamana.
• Uhakika wa kupata kiwanja halali chenye hati
• Mikopo inapatikana kwa wajasiliamali pamoja na waajiriwa.
• Urahisi wa kupata mikopo ya biashara kupitia dhamana ya kiwanja chako.