Benki ya Biashara Mkombozi inapenda kuwatangazia Wanahisa wake wote kwamba Gawio kwa mwaka 2017 linatarajiwa kuanza kulipwa kuanzia tarehe 07/07/2018. Barua za Gawio kwa kila mwanahisa zinatarajiwa kutumwa hivi karibuni. Wanahisa ambao hawana uhakika na taarifa zao za namna gani watalipwa gawio lao mnaombwa kujaza fomu maalumu zinazopatikana katika watawi yote ya Benki ya Mkombozi, au kwenye tovuti ya benki ya mkombozi au kwenye ofisi za majimbo ya Kanisa Katoliki.

Ratiba ya kuelekea kutoa gawio ni kama ifuatavyo:


Kutangazwa kwa Gawio

(Announcement of Dividend Payment):                            26th May 2018

Uuzaji wa hisa pamoja na Gawio

(Trading of Shares Cum-Dividend):                26th May to 15th June 2018

Trading of Share Ex-Dividend:

(Uuzaji wa Hisa bila Gawio)                                   16th June 2018 onward

Kufunga Rejista

(Closure of Members Register):                                          20th June 2018

Kufungua Rejista ya Wanahisa

(Re-opening of Members Register):                                   21st June 2018

Kuanza kulipa gawio

(Dividend Payment on/or about):                                      06th July 2018


Wanahisa wote mnaombwa kuzingatia muda wa kuanza kulipa gawio. Gawio ni haki ya kila Mwanahisa.