SALAMU ZA POLE

Benki ya Biashara Mkombozi inatoa salamu za pole kwa familia zilizopoteza ndugu, jamaa au marafiki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea katika ziwa Victoria, wilayani Bukoba tarehe 6.11.2022.

Tunawaombea uponyaji majeruhi wote na Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.

#mkombozicommercialbankplc

#precisionairtz