Uongozi wa Benki ya Biashara Mkombozi unawatakia maadhimisho mema ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania.

Mpendwa mteja, endelea kufurahia huduma zetu kupitia Mkombozi Wakala, Mkombozi Mobile na Mkombozi i-bank popote ulipo.