Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mkombozi Commercial Bank PLC tunaungana na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Watanzania wote pamoja na familia ya Baba wa Taifa, kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 23 tangu kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 

 

#mkombozicommercialbankplc

#abankwithintergrity