Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Respige Kimati akishirikiana na Meneja wa Tawi la Mt. Yosefu Bi. Bernadeth Kitandala kutoa shukrani za dhati kwa wateja wa Benki ya Mkombozi kwa kuichagua na kuipenda Benki yao na kuwakaribisha katika wiki ya huduma kwa wateja inayoanza tarehe 3 - 7 October 2022, yenye kauli mbiu isemayo ”Celebrate Service au Furahia Huduma”

Tunawakaribisha wateja wetu  kutembelea Matawi ya Benki ya Mkombozi  yaliyopo karibu nawe kufurahia huduma mbali mbali zilizoandaliwa kwaajili yenu.


#mkombozicommercialbankplc
#abankwithintergrity
#happycustomerserviceweek
#celebrateservice