Zimebaki siku chache kufikia tarehe 23.08.2022, siku iliyotegwa rasmi kwaajili ya Sensa ya watu na Makazi kwa msingi wa maendeleo ya Taifa Letu.

Hivyo basi watanzania wote tujiandae kuhesabiwa na kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi.