Mpendwa Mwanahisa, tunapenda kukumbusha kuwa bado siku tatu (3) tuu kufikia siku ya Mkutano wa Wanahisa wa Benki ya Biashara Mkombozi ambao utafanyika  Jumamosi tarehe 30.07.2022 kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

Kwa wale watakaoudhuria Mkutano huu tafadhali jisajili kwa kubofya LINK ya kusajili hapo chini 👇

Kusajili

kwa maelezo zaidi tafadhali bofya link ya publication hapo chini 👇

Publications