AGM 2023
Taarifa inatolewa kwamba, mkutano mkuu wa kumi na nne wa Wanahisa wa Benki ya Biashara Mkombozi utafanyika siku ya Jumamosi, tarehe 29 Julai 2023 katika ukumbi wa Mtana ghorofa ya 1- Millennium Towers 2, Makumbusho Dar es salaam.
Benki itawapa taarifa zaidi kuhusu mkutano huo na taratibu za kupata nyaraka za mkutano huo kwa mujibu wa sheria ya makampuni.
Kwa maoni kabla ya siku ya mkutano tafadhali tuma ujumbe kwenye anwani yetu ya barua pepe: